1
PICHA 5: Gari jipya ya Cristiano Ronaldo aliyoinunua Tsh bilioni 4.9
PICHA 5: Gari jipya ya Cristiano Ronaldo aliyoinunua Tsh bilioni 4.9

Baada ya michuano ya  Euro 2016  kumalizika na timu ya taifa ya  Ureno  inayoongozwa na nahodha wake  Cristiano Ronaldo  kutwaa taji hil...

Read more »

0
Video mpya ya Darassa ‘Too much’ Shilole, Lina na wengine ndani….
Video mpya ya Darassa ‘Too much’ Shilole, Lina na wengine ndani….

Rapper kutoka Bongoflevani,  Darassa  anayetamba na wimbo uitwao  Kama   Utanipenda aliyomshirikisha  Rich Mavoko , sasa leo   July ...

Read more »

0
Jux: Ni noti za dola mia, saa za bei ghali na cheni za madini ya thamani (Picha)
Jux: Ni noti za dola mia, saa za bei ghali na cheni za madini ya thamani (Picha)

Staa wa ‘Looking For You’ na boyfriend wa Vanessa Mdee amekohoa huko Instagram na kuwaacha mashabiki wake wakiwa na maoni tofauti. Kw...

Read more »

0
Zifahamu hizi nyimbo 10 bora zaidi kwa harusi duniani
Zifahamu hizi nyimbo 10 bora zaidi kwa harusi duniani

Wimbo wa mapenzi wa mwanamuziki wa Uingereza Ed Sheeran unaongoza kwa kupendwa sana na watu kama wimbo wa kufungua jukwaa wakati wa harus...

Read more »

1
Zifahamu siri hizi 3 zitakazosaidia mahusiano yako yadumu kwa muda mrefu
Zifahamu siri hizi 3 zitakazosaidia mahusiano yako yadumu kwa muda mrefu

Mahusiano mengi yamekuwa yakivunjika kwa kushindwa kudumu kwa muda mrefu kutokana na kila mtu kumchoka mwenzake. Unaweza kuwa katika uhus...

Read more »

0
Download Music: Jux – Wivu
Download Music: Jux – Wivu

Anyway siwezi kumuita kama Mfalme wa R’nB kwa hapa Bongo kwakuwa wakuchagua ni wewe. Ila Juma Jux anakuletea moja ya R’nB ambayo ni tamu ...

Read more »

0
Video,Kijana wa mitaani aliyechana mbele ya Rick Ross anaelekea kupata dili chini ya lebo yake.
Video,Kijana wa mitaani aliyechana mbele ya Rick Ross anaelekea kupata dili chini ya lebo yake.

Kijana wa mitaani asiye kuwa na pahala pakuishi hivi karibuni maisha yake yamebadilika baada ya kuchana mpebe ya rapa Rick Ross na bo...

Read more »
 

Latest Post


Baada ya michuano ya Euro 2016 kumalizika na timu ya taifa ya Ureno inayoongozwa na nahodha wake Cristiano Ronaldo kutwaa taji hilo, headlines zimekuwa nyingi baada ya staa huyo kushinda Kombe hilo kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yake.
364CEF2B00000578-0-image-a-5_1468572305384
Ronaldo baada ya kutwaa Euro 2016 aliripotiwa kutoa msaada bonansi yake yote aliyopewa, ila headlines za staa huyo hazijaishia hapo, kwani ameamua kununua gari jipya ikiwa siku chache zimepita toka afanikiwe kutwaa Kombe la Euro 2016, kitendo ambacho kinatafsirika kama kuamua kujizawadia zawadi hiyo.
364CEF3300000578-0-image-m-4_1468572294471
Staa huyo wa Real Madrid amenunua gari aina ya Bugatti Veyron 16.4 Grand Sport, gari ambalo lina thamani ya pound milioni 1.7 kiasi ambacho ni zaidi ya bilioni 4.9 za kitanzania, gari aina ya Bugatti Veyron 16.4 Grand Sport aliyoinunua Ronaldo zinatajwa kuwa hadi sasa zimetengenezwa 450 tu, hiyo inatokana na thamani ya gari yenyewe.
364E03A700000578-3691646-image-m-16_1468577798661
364E243000000578-3691646-image-a-25_1468578946036


Rapper kutoka Bongoflevani, Darassa anayetamba na wimbo uitwao Kama  Utanipenda aliyomshirikisha Rich Mavoko , sasa leo  July 16, 2016 ameachia rasmi video yake mpya iitwayo Too Much imetayarishwa na director Hanscana


Staa wa ‘Looking For You’ na boyfriend wa Vanessa Mdee amekohoa huko Instagram na kuwaacha mashabiki wake wakiwa na maoni tofauti.
Kwenye picha ya kwanza aliyopost, kunaonekana saa ya kifahari, cheni za dhahabu na miwani za bei huku akiishia kuwatakia tu usiku mwema mashabiki.
13584213_1740949782820438_1599775707_n
Kwenye picha ya pili, kunaonekana mafungu sita manene ya dola mia za Kimarekani pamoja na kofia na simu yenye cover ya brand yake, African Boy.
13658577_165149227236645_1711192038_n
Jux anafahamika kwa kuishi maisha ya kifahari huku fedha zake nyingi zikitokana na biashara anazofanya.
Wimbo wa mapenzi wa mwanamuziki wa Uingereza Ed Sheeran unaongoza kwa kupendwa sana na watu kama wimbo wa kufungua jukwaa wakati wa harusi.
Kwa mujibu wa mtandao wa Spotify, ambao wamechunguza maelfu ya orodha ya nyimbo zinazosambazwa zaidi katika mtandao huo, wimbo wa Thinking Out Loud unaongoza. Wimbo wa At Last wake Etta James ni wa pili nao wimbo wa Ray LaMontagne,
Mahusiano mengi yamekuwa yakivunjika kwa kushindwa kudumu kwa muda mrefu kutokana na kila mtu kumchoka mwenzake. Unaweza kuwa katika uhusiano kwa muda mrefu na kamwe usichoke kumwona au kutaka zaidi kutoka kwa mpenzi wako.
Hizi ni njia tatu zinazoweza kusaidia mahusiano yako kudumu kwa muda mrefu:
Geuza mtazamo wa mapenzi
Unapaswa kutumia kila nafasi unayoipata kufanya mapenzi kama nafasi ya kumuonyesha kitu kipya mpenzi wake – Mwisho utagundua kitu kutoka kwa mpenzi wako huyo!
Jitahidi kusoma na kujifunza njia mpya kwa ajili ya kumfurahisha mpenzi wako hali itakayopelekea kumlinda mpenzi wako asitoke nje ya mahusiano yenu.
Watu wengi wamezoea kuwa mwanaume ndio kiongozi wa kila kitu, hali iliyopelekea mpaka wanawake wengi hawezi kumuambia mtu wake kuhusu kufanya ‘tendo’ mpaka mwanaume ndio aanze kusema. Hilo kwenye mapenzi ni kitu ambacho kinapaswa kuwekwa kando ili kuleta furaha kwenye mapenzi yenu.
Tafuta ushauri
Kuna mbinu nyingi ambazo wapenzi hudhani wanazijua, lakini ni njia moja ya kuhakikisha kuwa mapenzi yananoga kila siku ni kutafuta mbinu mpya na za kipekee.
Wapenzi wengi wamekuwa waoga kuomba ushauri kama kuna matatizo ndani ya mahusiano yao, hali inayopelekea mtu huvumilia matatizo hayo mpaka mwisho wake huamua kulisaliti penzi lake kwa kutafuta furaha kwa mtu mwingine.
Kwenye mapenzi siyo kila rafiki wala mtu wako wa karibu anaweza kukupa ushauri mzuri utakaokufaa – Kuna wengine watakushauri vibaya ukajutia maamuzi yako hapo mbeleni. Unaweza kuwafuata watu waliodumu kwenye mahusiano kwa muda mrefu wakiwa na furaha na kuweza kuomba ushauri kujua wamefanyaje mpaka kufikia hapo ili uweze kufikia malengo na mpenzi wako.
Jua vitu anavyovipenda/ havipendi mpenzi wako
Unapaswa kuvijua vitu ambavyo havipendi mpenzi wako ili kujiepusha na kumkwaza mara kwa mara ili hata ikitokea hivyo ujue kwa wakati huo yupo kwenye ‘mood’ gani.
Aidha wapenzi wengi wamekuwa hawa fahamu sehemu za wapenzi wao zinazowasisimua na kupandisha raha au kumfikisha ‘kileleni’. Hali hiyo imepelekea wapenzi wengi kushindwa kudumu kwa muda mrefu kwenye mahusiano yao.

Anyway siwezi kumuita kama Mfalme wa R’nB kwa hapa Bongo kwakuwa wakuchagua ni wewe. Ila Juma Jux anakuletea moja ya R’nB ambayo ni tamu na kaipa jina la Wivu.



Kijana wa mitaani asiye kuwa na pahala pakuishi hivi karibuni maisha yake yamebadilika baada ya kuchana mpebe ya rapa Rick Ross na boss huyu kumchukua na kuanza kumuweka karibu na wasanii wa MMG.
Kijana huyu anafahamika kama Isa Muhammad,alichana mtaani mbele ya kundi la Rick Ross na ndipo walipogundua kipaji chake.
 rapp1
Bado Isa hajapewa mkataba na MMG ila ameanza kuonekana kuwa karibu na Rick Ross

 
Top